Sunday, June 07, 2015

NYALANDU NA NIA YA KUGOMBEA URAIS

ny1
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akionyesha mkoba wenye fomu za kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kukabidhiwa katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, jana. Pembeni ni mkewe Faraja,
ny3
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akipongezwa na baba yake mzazi, Mzee Samuel Nyalandu, baada ya kukabidhiwa fomu kwa ajili ya kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kukabidhiwa katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.

No comments:

MMUYA: WANANCHI WANUFAIKE NA UWEKEZAJI WA NHC KUPITIA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maghala unaotekelezwa na S...