Sunday, June 07, 2015

NAIBU WAZIRI WA MAILIASILI NA UTALII,MOHAMED MGIMWA AFUNGUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA KILIFAIR 2015.


Naibu waziri wa Maliasili na Utalii,Mohamed
Mgimwa akisalimiana na Naibu waziri wa Habari Utamaduni,Utalii na
Michezo wa Zanzabar Bi Hindi Khamis walipokutana katika maonesho
hayo.


Mgeni rasmi katika maonesho hayo,Naibu
waziri wa utalii,Mohamed Mgimwa akiwa katika picha ya pamoja na
iongozi wengine akiwemo kaimu mkuu wamkoa wa Kilimanjaro,Dkt Charles
Mlingwa,katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Seveline Kahitwa,Mhifadhi
mkuu KINAPA,Erastus Rufunguro.
Naibu waziri wa Maliasili na Utalii,Mohamed
Mgimwa akiwa ameambata na naibu waziri wa habari,utamaduni ,utalii na
Michezo Zanzibar,Bi Hindi Khamis alipokuwa akitembelea banda la
maoensho ya utalii la Zanzibar.
Naibu Waziri ,Mgimwa akizungumza na mmoja wa
wafanyakazi wa kampuni ya utalii ya Zara tour 
Naibu Waziri ,Mgimwa akinywa kahawa
alipotembelea banda la kampuni ya ndege ya Ethiopian
Airlines.
Waoneshaji wengine walibuni mbinu zaidi
wakiwatumia wafugaji jamii ya maasai katika maonesho
hayo.
Mhifadhi mkuu wa hifadhi ya taifa ya Mlima
Kilimanjaro KINAPA,Erastus Rufunguro akiwa katika picha ya pamoja na
mkurugenzi wa kampuni ya utalii ya Asante Tour ,Cuthbert pamoja na
mkurugenzi wa Kilifair ,Tom.
Naibu waziri Mgimwa akizungumza na
Cuthbert.
Naibu Waziri wa maliasili na utalii
akisalimiana na Meneja Biashara wa kampuni ya Kibo Palace ,Charity
Githinji ,wakati Naibu waziri alipotembelea banda
hilo.
Baadhiya wafanyakazi wa kampuni ya Kibo
Palace wakiwa katika banda lao la maonesho 
Naibu waziri wa utalii Zanzibar Bi Hindi
akipokea zawadi toka Kibo Palace.
Manaibu waziri wa utalii,Tanzania bara na
Zanzibar,Mgimwa na Bi Hindi wakiwa katika picha ya pamoja na
wakurugenzi wa Kilifair Dominic Shoo na Tom.
Mkurugenzi wa kampuni ya Kilifair ambao ndio
waandaji wamaonesho hayo ,Dominic Shoo akizungumza wakati wa ufunguzi
wa maonesho hayo .
Naibu waziri wa habari,utamaduni,utalii na
Michezo Zanzibar ,Bi Hindi Khamis akizungumza wakati wa ufunguzi wa
maonesho hayo.
Baadhi ya wageni waliofika kwa ajili ya
maonesho hayo.
Naibu Waziri ,Mgimwa akitoa hotuba yake ya
ufunguziwa maonesho ya kimataifa ya utalii ya Kilifair 2015
yanayofanyika katika viwanja vya Moshi Club.
Viongozi wakiwa katika picha ya
pamoja.
Naibu waziri Mgimwa akiteta jambo nammoja wa
wakurugenzi wa kampunu ya Kilifair Dominic Shoo.
Kikundi cha burudani toka nchini Kenya
kikitoa burudani katika maonesho hayo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii
Kanda ya Kaskazini.

No comments:

KIPANGULA: WAHITIMU WA HABARI WATAFAIDIKA NA MABORESHO YA KANUNI

  Na Mwandishi Wetu Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amewashauri Waandishi ...