Thursday, June 04, 2015

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa afanya ziara kwenye nyumba za gharama nafuu NHC Mvomero

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akikagua maendeleo ya ujenzi wa Nyumba za gharama nafuu Mvomero mkoani Morogoro aambapo pamoja na mambo mengine ameshuhudia ujenzi wa uzio wa kuzunguka katika eneo la nyumba hizo ambao unajengwa kwa kutumia matofali ya kufungamana yanayofyatuliwa na mojawapo ya vikundi vya vijana waliofadhiliwa mashine na Shirika, amepongeza matumizi ya matofali hayo na kuwahimiza mameneja wengine kuiga mfano huo. Kulia ni Veneranda Seif, Meneja wa NHC mkoa wa Morogoro.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akikagua maendeleo ya ujenzi wa Nyumba za gharama nafuu Mvomero mkoani Morogoro aambapo pamoja na mambo mengine ameshuhudia ujenzi wa uzio wa kuzunguka katika eneo la nyumba hizo ambao unajengwa kwa kutumia matofali ya kufungamana yanayofyatuliwa na mojawapo ya vikundi vya vijana waliofadhiliwa mashine na Shirika, amepongeza matumizi ya matofali hayo na kuwahimiza mameneja wengine kuiga mfano huo. Kulia kwake ni Veneranda Seif, Meneja wa NHC mkoa wa Morogoro.
 Nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na NHC Mvomero mkoani Morogoro zinavyoonekana sasa.
 Nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na NHC Mvomero mkoani Morogoro zinavyoonekana sasa.
 Nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na NHC Mvomero mkoani Morogoro zinavyoonekana sasa.

Nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na NHC Mvomero mkoani Morogoro zinavyoonekana sasa.



No comments:

KIPANGULA: WAHITIMU WA HABARI WATAFAIDIKA NA MABORESHO YA KANUNI

  Na Mwandishi Wetu Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amewashauri Waandishi ...