Monday, June 08, 2015
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE ATEMBELEA VISIWA VINNE WILAYANI MULEBA MKOANI KAGERA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Mpira wa Muleba mjini mkoani Kagera
KATIBU NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Mpira wa Muleba mjini mkoani Kagera.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa na Mbunge wa jimbo la Muleba Kusini Mh. Profesa Anna Tibaijuka wakijadiliana jambo katika boti wakati wakijiandaa kusafiri kwenda kisiwa cha Iroba-Bumbile,wilayani humo mkoani Kagera.
Sehemu ya umati wa watu kwenye mkutano huo wa Katibu Mkuu wa CCM.
Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka, akiwahutubia wananchi wake kwenye mkutano wa hadhara uliofayika kijiji cha Katunguru, leo kwenye Uwanja wa Mpira wa Muleba mjini mkoani Kagera.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akisalimiana na Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akisaini kitabu ha ugeni
Pichani kati ni Prof Anna Tibaijuka akiwakaribisha wageni wake walipowasili eneo la bandari ya Katungura pamoa katibu wa Naec Taidana kukia ni
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na ujumbe wake wakipewa maelekezo mafupi kabla ya kuondoka kuelekea kwenye kisiwa cha Iroba-Bumbile kwenda kuwasalimia wananchi na kusikiliza matatizo yao pamoja na kuyatafutia ufumbuzi.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipanda boti kutoka kijiji cha Kywamkwikwi kwenda Kisiwa cha Iroba-Bumbile
Sehemu ya eneo la Kisiwa cha Iroba -Bumbile kama kionekavyo pichani.
Baadhi ya Wananchi wakisubiri kupokea msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na ujumbe wake.
Baadhi ya Wananchi wa kisiwa cha Iroba-Bumbile wakiwapogea wageni wao kwa furaha.
Katibu Mkuu wa CCM ,Ndugu Kinana akisalimaiana na baadhi wenyeji wa kisiwa cha Iroba-Bumbile.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenexi Nape Nnauye Ndugu Kinana akiwahutubia wananchi wa kisiwa cha Iroba-Bumbile wilaynai Bumbile
Ndugu Kinana akiwahutubia wananchi wa kisiwa cha Iroba-Bumbile wilaynai Bumbile
Mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage, akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana uliofanyika leo kwenye kisiwa cha Iroba-Bumbile .
Sehemu ya umati watu waliokuwa wamekusanyika kwenye mkutano huo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MMUYA: WANANCHI WANUFAIKE NA UWEKEZAJI WA NHC KUPITIA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maghala unaotekelezwa na S...
-
Hapa mmoja wa watoto hao akiwa na kijana mwenzake mwenye miaka 18, wote wako sawa lakini yeye hawezi kuzungumza kama watu wa kawaida. Mama S...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
Nadhani mtakumbuka kibwagizo maarufu katika TV ambacho kinaimbwa perupe pepero perupe pepero hawa ni vijana wa Sisi Tambala waliokuwapo kati...






























No comments:
Post a Comment