SPIKA ALIPOKUTANA NA KAMISHINA MKUU WA SEKRETARIETI YA MAADILI JAJI KAGANDA
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili, JajiSalome Kaganda wakati alipofanya mazungumzo nayeofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili, JajiSalome Kaganda wakati alipofanya mazungumzo nayeofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili, JajiSalome Kagandaofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Simon Msanjila ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili, Jaji Salome Kaganda wakati alipozungumza nayeofisini kwake Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment