Friday, May 06, 2016

KIKAO KAZI CHA MAMENEJA NA WAKURUGENZI WA NHC CHAFANYIKA DAR

Mkurugenzi wa Usimamizi wa Miliki, Hamad Abdallah akizungumza kwenye kikao kazi cha Mameneja na Wakurugenzi wote wa Shirika la Nyumba la Taifa kilichohusu utekelezaji wa Mpango Mkakati mpya wa mwaka 2016-2024/25 sambamba na mikakati bora ya uuzaji wa nyumba za Shirika. 
Kikao kazi cha Mameneja na Wakurugenzi wote wa Shirika la Nyumba la Taifa kilichohusu utekelezaji wa Mpango Mkakati mpya wa mwaka 2016-2024/25 sambamba na mikakati bora ya uuzaji wa nyumba za Shirika kikiendelea.

 Meneja wa NHC Mkoa wa Arusha, James Kisarika akizungumza kwenye kikao kazi cha Mameneja na Wakurugenzi wote wa Shirika la Nyumba la Taifa kilichohusu utekelezaji wa Mpango Mkakati mpya wa mwaka 2016-2024/25 sambamba na mikakati bora ya uuzaji wa nyumba za Shirika. 
Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Issack Peter akizungumza kwenye kikao kazi cha Mameneja na Wakurugenzi wote wa Shirika la Nyumba la Taifa kilichohusu utekelezaji wa Mpango Mkakati mpya wa mwaka 2016-2024/25 sambamba na mikakati bora ya uuzaji wa nyumba za Shirika. 
 Meneja wa NHC Mkoa wa Ruvuma, Said Bungara akizungumza kwenye kikao kazi cha Mameneja na Wakurugenzi wote wa Shirika la Nyumba la Taifa kilichohusu utekelezaji wa Mpango Mkakati mpya wa mwaka 2016-2024/25 sambamba na mikakati bora ya uuzaji wa nyumba za Shirika. 
Meneja wa NHC Mkoa wa Kilimanjaro, Shehe Kombo akizungumza kwenye kikao kazi cha Mameneja na Wakurugenzi wote wa Shirika la Nyumba la Taifa kilichohusu utekelezaji wa Mpango Mkakati mpya wa mwaka 2016-2024/25 sambamba na mikakati bora ya uuzaji wa nyumba za Shirika. 
Meneja wa NHC Mkoa wa Mwanza, Benedict Kilimba akizungumza kwenye kikao kazi cha Mameneja na Wakurugenzi wote wa Shirika la Nyumba la Taifa kilichohusu utekelezaji wa Mpango Mkakati mpya wa mwaka 2016-2024/25 sambamba na mikakati bora ya uuzaji wa nyumba za Shirika. 

No comments:

Prof. Mfaransa Aja na Kitabu: Aiambia Dunia Kutalii Tanzania ni Tiba

Na Mwandishi Wetu Paris, Ufaransa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, akiwa nchini Ufaransa jana Julai 8, 2025 amek...