Wednesday, May 04, 2016

KIKAO CHA WAFANYAKAZI MAKAO MAKUU NHC

Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi TAMICO NHC Lilian Reuben akizungumza na wafanyakazi wakati wa kikao hicho kilichofanyika leo mchana lengo likiwa ni kukusanya maoni kwaajili ya kufikisha katika kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NHC litakalofanyika Jumamosi Makao Makuu Dar
 Wafanyakazi wa NHC wakiimba mwimbo wa Solidarity Forever ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa kikao hicho leo.
 Uongozi wa Chama cha Wafanyakazi NHC ukiwa meza kuu kwa ajili ya kusikiliza hoja za wajumbe wa mkutano huo
 Wafanyakazi ambao ndiyo wajumbe wa chama hicho wakifuatilia kwa karibu mkutano huo.
 Mjumbe (Swahiba Msuya) akiwasilisha hoja mbele ya kikao hicho wakati kikiendelea.
 
 Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi TAMICO NHC Lilian Reuben akizungumza na wafanyakazi wakati wa kikao hicho kilichofanyika leo mchana lengo likiwa ni kukusanya maoni kwaajili ya kufikisha katika kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NHC litakalofanyika Jumamosi Makao Makuu Dar
 Mjumbe (James Mbilu) akiwasilisha hoja mbele ya kikao hicho wakati kikiendelea.
Mjumbe (Mariam Mungula) akiwasilisha hoja mbele ya kikao hicho wakati kikiendelea.
 Wafanyakazi ambao ndiyo wajumbe wa chama hicho wakifuatilia kwa karibu mkutano huo.
 Wafanyakazi ambao ndiyo wajumbe wa chama hicho wakifuatilia kwa karibu mkutano huo.
Mjumbe (Aidin Stafford) akiwasilisha hoja mbele ya kikao hicho wakati kikiendelea.
Post a Comment