Monday, May 02, 2016

WAFANYAKAZI TBL GROUP DAR,MWANZA , MBEYA,ARUSHA WALIVYOSHEREHEKEA MEI MOSI

Wafanyakazi wa TBL Dar es salaam  katika maandamano wakiandamana wakati wa maadhimisho ya sherehe za wafanyakazi Duniani Mei Mosi zilizofanyika jana Duniani kote Kitaifa sherehe hizo zimefanyika mkoani Dodoma huku Rais Dk. John Pombe Magufuli akiongoza sherehe hizo.
t1Wafanyakazi wa TBL mkoani Arusha   katika maandamano wakiandamana wakati wa maadhimisho ya sherehe za wafanyakazi Duniani Mei Mosi zilizofanyika jana
t2Wafanyakazi wa TBL mkoani Mbeya  katika maandamano wakiandamana wakati wa maadhimisho ya sherehe za wafanyakazi Duniani Mei Mosi zilizofanyika jana
t3
Wafanyakazi wa TBL mkoani Mbeya  katika maandamano wakiandamana wakati wa maadhimisho ya sherehe za wafanyakazi Duniani Mei Mosi zilizofanyika jana
t4
Wafanyakazi wa TBL wakiwa katika sherehe hizo mkoani Mwanza
Post a Comment