Saturday, May 21, 2016

MATUKIO YA PICHA BUNGENI DODOMA, JUMAMOSI 21 MEI, 2016

bu1
Mbunge wa CHADEMA, Mhe. Mwita Mwikwabe Waitara (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie kuelekea ndani ya Bunge mjini Dodoma leo 21 Mei, 2016 kwa ajili ya vikao vya asubuhi siku ya Jumamosi bungeni hapo.
bu2Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Vangimembe Lukuvi akisoma Bajeti ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 leo Bungeni mjini Dodoma 21 Mei, 2016.
bu3Naibu Waziri, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Eng. Mhe. Edwin Amandus Ngonyani (kushoto) akiteta jambo na Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Susan Alphonce Kolimba Bungeni Mjini Dodoma 21 Mei, 2016.
bu4Naibu Waziri, Wizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Eng. Ramo Matala Makani (kushoto) akiteta jambo na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe Selemani Saidi Jafo Bungeni mjini Dodoma 21 Mei, 2016.
bu5Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Walemavu, Mhe. Jenista Joackim Mhagama (kushoto), Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles John Mwijage (katikati) pamoja na Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Susan Alphonce Kolimba wakiteta jambo leo Bungeni Mjini Dodoma 21 Mei, 2016.
bu6Naibu Waziri, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Eng. Mhe. Edwin Amandus Ngonyani (kulia) pamoja na Naibu Waziri, Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Mhe. Eng. Isack Aloyce Kamwelwe wakijadiliana jambo leo Bungeni Mjini Dodoma 21 Mei, 2016
Post a Comment