Thursday, May 05, 2016

MATUKIO YA BUNGE LINAENDELEA MJINI DODOMA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa akijibu maswali ya papo kwa papo yanayoulizwa na Wabunge leo mjini Dodoma.
2Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai akiingia kwenye ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma.
3Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe akiwasili viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma
4
5Wabunge wakiwasili viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma.
(Picha na Eleuteri Mangi-MALEZO, Dodoma)
Post a Comment