Thursday, May 12, 2016

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU AELEKEA MKOANI GEITA KIKAZI

 Pichani pili kulia ni Mhe. Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene,Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongela na Katibu wa CCM Ndugu Mtaturu (kulia),wakiwa kwenye kivuko akitokea Mkoani Mwanza kuelekea Mkoani Geita kwenye ziara ya kikazi leo hii.
 Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene wakijadiliana jambo .
Post a Comment