Saturday, May 07, 2016

NAIBU WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI ANGELINE MABULA AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA KUU NHC

Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa kinachofanyika leo jijini Dar es Salaam kinachojadili kwa mapana masuala ya utendaji kazi, maslahi ya wafanyakazi, utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka 10 wa Shirika na kujadili bajeti ya Shirika na utekelezaji wake. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na Kulia ni Katibu wa Baraza la Wafanyakazi, Adolf Kasegenya.
Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa kinachofanyika leo jijini Dar es Salaam kinachojadili kwa mapana masuala ya utendaji kazi, maslahi ya wafanyakazi, utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka 10 wa Shirika na kujadili bajeti ya Shirika na utekelezaji wake.

Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari kabla ya kufungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa kinachofanyika leo jijini Dar es Salaam kinachojadili kwa mapana masuala ya utendaji kazi, maslahi ya wafanyakazi, utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka 10 wa Shirika na kujadili bajeti ya Shirika na utekelezaji wake.
 Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula akiwasili Makao Makuu ya NHC ambapo amefungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa kinachofanyika leo jijini Dar es Salaam
 Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakifuatilia kikao kinavyoendea asubuhi ya leo. KIkao kimefanyika Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa, (NHC PLACE) Upanga DSM.

Mkuu wa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Itandula Gambalagi akijadiliana jambo na Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula  huku Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akishuhudia.
 Picha ya pamoja ya Wajumbe wa kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa kinachofanyika leo. Kikao kimefanyika Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa, (NHC PLACE) Upanga DSM.

Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula  akiongozana na  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu kutoka katika eneo la Bustani ya Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa, NHC PLACE, Upanga DSM.

Post a Comment