Friday, May 20, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA UJUMBE WA CHUO KIKUU CHA AGHA KHAN


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako (wapili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chuo Kikuu cha Agha Khan baada yamazungumzo yao ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2016. Wengine pichani kutoka kushoto ni Al - Karim Haji , Firoz Rasul, Amin Kurjina Joel Lugallo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Chuo Kikuu cha Agha Khan, Ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Mai 19, 2016. Kutoka kushoto ni Al - Karim Haji, Firoz Rasul, Joel Lugallo na Amin Kurj
Post a Comment