MRATIBU MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA AWATAKA VIJANA KUWA MFANO KATIKA NCHI ZAO

Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini,Alvaro Rodriguez akizungumza katika mkutano wa Baraza Kivuli la Umoja wa Mataifa kuhusu  Vijana kutoka nchi nane Afrika uliofungwa juzi kwenye makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha .
Mratibu wa Kongamano hilo Marx Chocha akizungumza jambo kwenye mkutano huo.


Vijana wakisikiliza kwa makini mada mijadala iliyokua inatolewa.
Ushiriki wa vijana wa kike ulipewa umuhimu wa kipekee katika mkutano huo na walionesha uwezo wao katika kujadili masuala mbalimbali yakiwemo ajira ,usalama na amani na mabadiliko ya tabia nchi.
Mshiriki kutoka Zanzibar,Asma Omar  akifatilia kwa makini.
Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa(UN)Hoyce Temu
Mshiriki kutoka Zanzibar,Asma Omar  akipokea zawadi yake baada ya kuibuka mshindi katika kusambaza habari za mkutano kwa njia ya mitandao
Mshiriki kutoka jijini Dar es Salaam,Lilian Kimani akipokea cheti chake baada ya kutambuliwa kufanya vizuri kama mkuu wa Itifaki kwenye mkutano huo.
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini,Alvaro Rodriguez akimkabidhi mmoja wa vijana cheti cha kutambua mchango wake .
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini,Alvaro Rodriguez akimkabidhi mmoja wa vijana cheti cha kutambua mchango wake .
Vijana wakiwa wamechangamka kwenye mkutano wa Baraza Kivuli la Umoja wa Mataifa.
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini,Alvaro Rodriguez(katikati)akiwa na washindi  waliofanya vizuri katika matumizi ya mitandao.

Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini,Alvaro Rodriguez(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na vijana kutoka nje ya nchi waliohudhuria mkutano huo.
Spika wa Bunge la Muungano mstaafu,Mzee Pius Msekwa na mke wake,Mama Anna Abdallah .

Comments