Sunday, May 15, 2016

MIGOGORO YA ARDHI KUMALIZWA NA SERA MPYA YA ARDHI

m1m2Mkazi wa Kijiji cha Kemuyak wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha Bwana Kalangangwe Lanya Vii akitoa maoni yake kwa Kamati ya kukusanya Maoni ya kuboresha Sera ya Taifa ya Ardhi ya 1995 kuhusu suala la kupewa kipaumbele utoaji wa hati miliki kwa wanavijiji hasa wafugaji.
m3Wakazi wa kijiji cha Oldonyo Sambu wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha wakijaza dodoso la kukusanya maoni ya kuboresha Sera ya Taifa ya Ardhi ya 1995 ili kuwa na Sera ya Ardhi itakayotatua changamoto zao na nchi kwa ujumla.
Post a Comment