Monday, May 09, 2016

MBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI, JAFARY MICHAEL ATEMBELEA KATA ZILIZOATHIRIKA NA MVUA ZILIZONYESHA HIVI KARIBUNI

Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini ,Jafary Michael (mwenye suti) akiwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi,Raymond Mboya (Kulia) wakizungumza na Diwani wa kata ya Ng’ambo ,Genesis Kiwhelu walipofika katika kata hiyo kujionea athari za miondombinu iliyotokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni.
Sehemu ya miondo mbinu ya maji ikiwa imeharibika.
Mbuge Jafary Michael na Mstahiki Meya, Raymond Mboya pamoja na Diwani wa kata ya Ng’ambo Genesis Kiwhelu wakiangalia eneo la daraja lililopo katka kata hiyo namna lilivyoharibika kutokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni.

Sehemu ya daraja hilo.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi,Raymond Mboya akiwa katika moja ya kivuko kilichopo kata ya Ng’ambo akiangalia athari ya mvua zilizonyesha hivi karibuni.
Diwani wa kata ya Msaranga,Anna Mushi akimueleza jambo Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini, Jafary Michael alipofanya ziara ya kujionea athari ya mvua zilizonyesha hivi karibuni na kuharibu miundombinu.

Sehemu ya Korongo lililopo katika kati hiyo lililotokana na mvua .
Mbunge wa jimbo la Moshi Mjini, Jafary Michael akisaidia kupalia mahindi wakati akiwa katika kata ya Msaranga akitembelea kujionea athari ya mvua iliyosababisha uharibifu mkubwa wa miundo mbinu.
Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi, Raymond Mboya akisadia kaika palizi la Mahindi katika moja ya shamba lililopo kata ya Msaranga.
Diwani wa kata ya Mji Mpya Abuu Shayo akimueleza jambo Mbunge wa jimbo la Moshi Mjini Jafaryy Michael alipofika katika kata hiyo kujionea athari ya mvua iliyosababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu .

Diwani wa kata ya Njoro, Jomba John Koi akionesha sehemu ya uharibifu uliotokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni na kuharibu miundombinu.
Post a Comment