Tuesday, May 03, 2016

WANAHABARI SHIRIKIANENI NA WADAU WA AFYA KUELIMISHA JAMII KUHUSU MABADILIKO YA TABIANCHI.

05
Dkt. Azma Simba wa Kitengo cha Epidemolojia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ambaye alimwakilisha mgeni rasmi katika ufunguzi wa Semina kwa Waandishi wa Habari kuhusu mabadiliko ya tabianchi akisoma taarifa ya Mkurugenzi toka Wizarani leo 3 Mei, 2016 Jijini Dar es Salaam.
DSC_5757
02
03Msimamizi wa Mradi wa Mabadiliko ya Tabia Nchi Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Geofrey Mchau akitoa mada mbele ya Waandishi wa Habari kuhusu mabadiliko ya tabianchi nchini wakati wa Semina Maalum kwa Waandishi hao leo 3 Mei, 2016 Jijini Dar es Salaam.

No comments:

MAKAMU WA RAIS AONGOZA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA ASASI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA YA SADC.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema katika kipindi cha mwaka mmoja cha uongozi wa Tanzania kat...