Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wauguzi na madaktari ya hospitali ya mkoa wa Mbeya wakati alipofika hospitalini hapo kuwaona majeruhi wa ajali ya askari wa kutuliza ghasia iliyotokea Februari 28, 2015 kati ya Mbeyana Chuna.
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimfariji WP Cecilia Mussa mmoja wa askari waliojeruhiwa akatika ajali ya gari iliyotokea katika kijiji cha Chang’ombe katika barabara ya barabara ya Mbeya Chunya Machi 1, 2015. Majeruhi hao wamelazwa katika hospitali ya mkoa wa Mbeya na hali zao ni nzuri.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akimfariji WP Mwazanije Hassan mmoja wa askari waliojeruhiwa akatika ajali ya gari iliyotokeakwenye kijiji cha Chang’ombe katika barabara ya Mbeya Chunya Machi 1, 2015. Majeruhi hao wamelazwa katika hospitali ya mkoa wa Mbeya na hali zao ni nzuri.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wananchi wa Vwawa , Mbozi akiwa katika ziara ya mkoa wa mbeaya Machi 1, 2015


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakitazama ngoma ya kabila la Wanyiha wakati walipotembelea kiwanda cha kusindika kahawa cha CMS kilichopo Mbozi wakiwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya Machi 1, 2015
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza maelezo kuhusu utafiti wa zao la kahawa kutoka kwa Mtafiti Charles Mwingira wakati alipotembelea kituo cha utafiti wa kahawa cha Mbimba , Mbozi machi 1, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua shamba la mfano la kahawa fupi wakati alipotembelea kituo cha utafiti wa zao la kahawa akiwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya Machi 1, 2015
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua maabara ya Shule ya Sekondari ya Vwawa akiwa kayioka ziara ya mkoa wa Mbeya Machi 1, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro.
Waziri Mkuu, Mizengo Pindaq akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Vwawa baada ya kufungua maabara zao akiwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya Machi 1, 2015
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda namkewe Tunu wakikagua sehemu ya shehena ya mahindi iliyohifadhiwa nje ya maghala ya NFRA, Vwawa, Mbozi Machi 1, 2015
No comments:
Post a Comment