Monday, March 02, 2015

SELCOM KUIWEZESHA MANISPAA YA MOROGORO KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO KWA NJIA ZA KIELEKTRONIC



Naibu
Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele kushoto akimkabidhi Meneja
Ukuzaji Biashara na Masoko, Juma Mgori  mkataba wa makubaliano ya
kuanza kuendesha mfumo wa ukusanyaji wa mapato anayeshudia katikati ni
Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta. Makabidhiano hayo yamefanyika
Morogoro 


Naibu
Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele kushoto akionesha mkataba walio saini na kampuni ya Selcom Tanzania baada ya kutiliana saini 

kuanza kuendesha mfumo wa ukusanyaji wa mapato katikati ni Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta. na Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko, Juma Mgori
Makabidhiano hayo yamefanyika Morogoro
Ofisa Ugavi wa Manspaa ya Morogoro,
Vincent Odero kushoto akijadiliana jambo na Meneja miradi wa Selcom
Gallus Runyeta. kulia katikati ni
 Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko, Juma Mgori  na Afisa techinolojia habari na mawasiliano ‘TEHAMA’ wa Manspaa haiyo Innocent Cosma 

No comments:

VIONGOZI WAKUU WA SERIKALI WAPIGA PICHA YA PAMOJA BAADA YA KIKAO CHA MWISHO CHA BARAZA LA MAWAZIRI AWAMU YA SITA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali...