Thursday, February 05, 2015

MALIASILI NA UTALII WAENDELEA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII MAREKANI

unnamedk1Ujumbe wa Tanzania ulioshiriki katika ziara ya kutangaza vivutio vya utalii nchini katika soko la Marekani Magharibi.
unnamedk2Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akimpa zawadi ya kinyago Naibu Meya wa jiji la Seattle nchini Marekani Bi. Kim mara baada ya kumaliza mazungumzo yao
unnamedk3Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Peter Msigwa akiongea katika ziara ya kutangaza vivutio vya utalii nchini katika jiji la Seattle nchini Marekani.
unnamedk4Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akipokea kitabu maalum chenye kueleze historia ya jjji la Seattle kutoka kwa Naibu Meya wa jiji la Seattle nchini Marekani Bi. Kim.
unnamedk5Ujumbe wa Tanzania ukiwa katika mazungumzo na viongozi wa jiji la Seattle nchini Marekani katika mazungumzo ya namna ya kuongeza watalii nchini kutoka katika jiji hilo.
unnamedk6Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akiongea na Naibu Meya wa jiji la Seattle nchini Marekani Bi. Kim alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo ya namna ya kuongeza watalii nchini kutoka katika jiji hilo.

No comments:

TUZINGATIE UTU, SHERIA NA HAKI KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA ULINZI WA RASILIMALI ZA TAIFA- DKT KIJAJI

  Na. Joyce Ndunguru, Morogoro. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Dkt Ashatu Kijaji (Mb) amewataka watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa W...