RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE APOKEA VITABU VYA SAYANSI KWA SHULE ZA SEKONDARI VILIVYOCHAPISHWA KWA MSAADA WA WATU WA MAREKANI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya
ya Kinondoni Mhe Paul Makonda baada ya kuwasili katika Shule ya
Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam leo tayari kwa
kukagua ujenzi wa maabara na pia kupokea na kugawa vitabu vya
sayansi vilivyochapishwa na Watu wa
Marekani.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua maabara katika Shule
ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam
ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi
vilivyochapishwa na Watu wa Marekani. Wa kwanza
kulia ni Dkt Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,
akifuatiwa na mke wa Rais Mama Salma
Kikwete

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma kikwete, Balozi
wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, na viongozi wengine
wakiangalia jinsi somonla sayansi likifundishwa katika darasa la Kidatu cha
pili Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam

vilivyochapishwa na Watu wa Marekani

wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, Dkt Shukuru Kawambwa,
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,na viongozi wengine wakisalimia
wanafunzi katika darasa la Kidatu cha pili Shule ya
Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia
alipokea na kugawa vitabu vya sayansi

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Marekani
nchini Mhe Mark Childress, wakiongea na mkandarasi wa maabara
ya Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam
ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyotolewa na Watu wa Marekani

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete
na Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress wakiwa na baadhi ya
wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e
salaam wakiwa na vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa
Marekani

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja
huko Kunduchi jijini Dar e salaam wakiimba kwa furaha katika
sherehe ya kukabidhiwa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na
Watu wa Marekani

Kikundi cha utamaduni cha jeshi la polisi kikitumbuiza
katika sherehe ya kukabidhiwa vitabu vya sayansi vilivyotolewa na
Watu wa Marekani
katika sherehe ya kukabidhiwa vitabu vya sayansi vilivyotolewa na
Watu wa Marekani
Baadhi ya maafisa wa ubalozi wa Marekani wakiwa katika
katika sherehe ya kukabidhiwa vitabu vya sayansi
vilivyochapishwa na Watu wa Marekani
katika sherehe ya kukabidhiwa vitabu vya sayansi
vilivyochapishwa na Watu wa Marekani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea baadhi ya vitbu
vya sayansi toka kwa Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress,
Vitabu hivyo ambavyo vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi
nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi wa
Marekani nchini Mhe Mark Childress akigawa vitabu kwa wanafunzi wa
Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu
hivyo, ambavyo piavimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima

vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa
Marekani.
Marekani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi wa
Marekani nchini Mhe Mark Childress katika picha na baadhi ya
wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es
salaam baada ya kuwagawia vitbu vya sayansi. Vitabu hivyo, ambavyo
pia vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima
vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.

Mwanafunzi wa Kidatu cha pili D, Khairat Nassor, akitoa
ushuhuda wa jinsi wanafunzi walivyokuwa na nafuu baada ya kupatikana
vitabu vya sayansi katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi
jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo pia vimesambazwa katika shule

zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani
Mama Salma Kikwete akiagana na walimu wenzake baada ya
sherehe za kukabidhi vitabu vya sayansi. katika Shule ya Sekondari
ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo
pia vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima
vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.
sherehe za kukabidhi vitabu vya sayansi. katika Shule ya Sekondari
ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo
pia vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima
vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.
Mama Salma Kikwete akiagana na walimu wenzake baada ya
sherehe za kukabidhi vitabu vya sayansi. katika Shule ya Sekondari
ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo
pia vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima
vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.
sherehe za kukabidhi vitabu vya sayansi. katika Shule ya Sekondari
ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo
pia vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima
vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.
Picha zote na IKULU
Comments