MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KITAIFA KUHUSU WATOTO WALIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizindua Vitabu vya Miongozi kuhusu huduma za Watoto walio katika Mazingira Hatarishi na Sheria ya Mtoto No, 21 ya mwaka 2009, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa kuhusu Watoto walio katika mazingira hatarishi, lililofanyika Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha Vitabu vya Miongozi kuhusu huduma za Watoto walio katika Mazingira Hatarishi na Sheria ya Mtoto No, 21 ya mwaka 2009, baada ya kuzindua rasmi vitabu hivyo wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa kuhusu Watoto walio katika mazingira hatarishi, lililofanyika jana iri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid (kulia) ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akimkabidhi Waziri wa Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia, Vitabu vya Miongozi kuhusu huduma za Watoto walio katika Mazingira Hatarishi na Sheria ya Mtoto No, 21 ya mwaka 2009, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa kuhusu Watoto walio katika mazingira hatarishi, lililofanyika jana Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa dare s Salaam, Said Meck Sadik na Kulia kwa Makamu ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akimkabidhi Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia, Vitabu vya Miongozi kuhusu huduma za Watoto walio katika Mazingira Hatarishi na Sheria ya Mtoto No, 21 ya mwaka 2009, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa kuhusu Watoto walio katika mazingira hatarishi, lililofanyika jana Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa dare s Salaam, Said Meck Sadik na Kulia kwa Makamu ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akimkabidhi Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Ummy Mwalimu, Vitabu vya Miongozi kuhusu huduma za Watoto walio katika Mazingira Hatarishi na Sheria ya Mtoto No, 21 ya mwaka 2009, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa kuhusu Watoto walio katika mazingira hatarishi, lililofanyika jana Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa dare s Salaam, Said Meck Sadik na Kulia kwa Makamu ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na mwanafunzi, Zulfa Said, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa kuhusu Watoto walio katika mazingira hatarishi, lililofanyika jana Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.  
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed  Gharib Bilal, akizungumza wakati akifungua rasmi Kongamano la Kitaifa kuhusu Watoto walio katika mazingira hatarishi, lililofanyika jana Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

Comments