Tuesday, February 17, 2015

Shirika la Nyumba la Taifa wapata mafunzo kuhusu kupambana na moto


Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria wa NHC, Martin Mdoe akijaribu kuuzima moto wakati wa mafunzo kwa wafanyakazi ya kuzimamoto yakiendelea kwenye ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jijini Dar es Salaam leo.
Kamanda wa Kikosi cha Zimamoto Staff Sergeant, Alex Ojode akizungumza wakati wa mafunzo kwa wafanyakazi ya kuzimamoto kwenye ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jijini Dar es Salaam leo, amezungumzia kuhusu aina ya mioto na mbinu za kuzima kila aina ya moto unapoibuka ili kusudi wafanyakazi wazijue aina hizo na namna ya kukabiliana nazo.
 Kamanda wa Kikosi cha Zimamoto Staff Sergeant, Alex Ojode akizungumza wakati wa mafunzo kwa wafanyakazi ya kuzimamoto kwenye ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jijini Dar es Salaam, amezungumzia kuhusu aina ya mioto na mbinu za kuzima kila aina ya moto unapoibuka ili kusudi wafanyakazi wazijue aina hizo na namna ya kukabiliana nazo.
Kamanda wa Kikosi cha Zimamoto Staff Sergeant, Mawazo akizungumza wakati wa mafunzo kwa wafanyakazi ya kuzimamoto kwenye ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jijini Dar es Salaam, amezungumzia kuhusu aina ya mioto na mbinu za kuzima kila aina ya moto unapoibuka ili kusudi wafanyakazi wazijue aina hizo na namna ya kukabiliana nazo. 
Sehemu ya wafanyakazi wa NHC makao makuu wakifuatilia mafunzo kutoka kwa  Kamanda wa Kikosi cha Zimamoto Staff Sergeant, Alex Ojode wakati akizungumza wakati wa mafunzo kwa wafanyakazi ya kuzimamoto kwenye ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jijini Dar es Salaam, amezungumzia kuhusu aina ya mioto na mbinu za kuzima kila aina ya moto unapoibuka ili kusudi wafanyakazi wazijue aina hizo na namna ya kukabiliana nazo.



Mafunzo kwa wafanyakazi ya kuzimamoto yakiendelea kwenye ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jijini Dar es Salaam.
 Mafunzo kwa wafanyakazi ya kuzimamoto yakiendelea kwenye ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jijini Dar es Salaam.
Swahiba Msuya wa NHC makao makuu akijaribu kuuzima moto wakati wa m afunzo kwa wafanyakazi ya kuzimamoto yakiendelea kwenye ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jijini Dar es Salaam.

 Herbert Kamote wa NHC makao makuu akijaribu kuuzima moto wakati wa m afunzo kwa wafanyakazi ya kuzimamoto yakiendelea kwenye ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jijini Dar es Salaam.

No comments:

🔴🔴TABORA ZOO YAENDELEA KUNG'ARA KAMA KITOVU CHA ELIMU, BURUDANI NA UTALII WA NDANI

Na Mwandishi wetu, Tabora. Bustani ya Wanyamapori Tabora (Tabora Zoo) imeendelea kujipambanua kama kivutio muhimu cha elimu na burudani jiji...