Friday, February 27, 2015

Waziri Mkuu Mizengo Pinda aweka jiwe la msingi katika mradi wa nyumba za watumishi zililizojengwa na NHC Busokelo

 Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda akifungua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo leo.

 Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda, akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio wakati akiwasili katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wialaya ya Busokelo, Mbeya.
  Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu) na Mbunge wa Rungwe Mashariki , Profesa Mark Mwandosya katika eneo la nyumba za gharama nafuu za watumishi za Busokelo, Mbeya zinazojengwa na Shirika hilo kabla ya kuwekwa jiwe la msingi na  Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda.
 Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda, akisalimiana na Meneja Miradi wa NHC, George Magembe wakati akiwasili katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wialaya ya Busokelo, Mbeya.
Baadhi ya watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Wakiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio wakipokea wageni waliokuwa wakiwasili katika eneo la nyumba za gharama nafuu za watumishi za Busokelo, Mbeya zinazojengwa na Shirika hilo na kuwekwa jiwe la msingi na  Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda.

Mojawapo ya nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Busokelo zinazojengwa na NHC kama zinavyoonekana leo.
 
Mojawapo ya nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Busokelo zinazojengwa na NHC kama zinavyoonekana leo.
 Bango la Kumkaribishs Waziri Mkuu
 Msoma Hotuba  wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, Bw. Sanga akisoma hotuba hiyo mbele ya Waziri Mkuu leo.

Waziri Mkuu Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Nyangi wa NHC wakati akiwasili katika eneo hilo

 Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda, akijadiliana jambo na Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu) na Mbunge wa Rungwe Mashariki , Profesa Mark Mwandosya katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wialaya ya Busokelo.

 Baadhi ya Watendaji wa NHC na viongozi wa Wilaya ya Busokelo mkoani Mbeya wakiwa wamejipanga kumkaribisha Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda akikaribishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu) na Mbunge wa Rungwe Mashariki , Profesa Mark Mwandosya wakati akiwasili katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, Mbeya.
 Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu) na Mbunge wa Rungwe Mashariki , Profesa Mark Mwandosya katika eneo la nyumba za gharama nafuu za watumishi za Busokelo, Mbeya zinazojengwa na Shirika hilo kabla ya kuwekwa jiwe la msingi na  Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda.
 Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio, akimkaribisha aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Chrispin Meela wakati wa hafla hiyo.
Baadhi ya Wafanyakazi  wa NHC wakifuatilia uwekaji wa jiwe la msingi wa mradi huo wa nyumba za watumishi wilayani Busokelo.

Wafanyakazi wa NHC Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja baada ya shughuli ya uwekaji jiwe la msingi

Waziri Mkuu akienda kufungua pazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la mradi huo

No comments: