Mwenyekiti wa Tume mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akimkaribisha Kaimu Mwenyekiti wa Tume ya Uganda Bi. Vastina Nsanze na ujumbe wake.Mwenyekiti wa Tume Mhe. Aloysius Mujulizi akiwa katika mazungumzo na ujumbe wa Tume ya Kurekebisha Sheria ya Uganda ofisini kwake.Ujumbe wa Tume ukiongozwa na mwenyekiti Mhe. Aloysius Mujulizi ukiwa katika mkutano na wenzao wa Uganda unaoongozwa na Bi. Vastina NsanzeMwenyekiti wa Tume Mhe. Aloysius Mujulizi (kulia) akiwa na Kaimu Mwenyekiti wa Tume ya Uganda katika kikao cha pamojaUjumbe wa Tume ukiwa katika picha ya pamoja na wenzao wa Uganda (Picha zote na Munir Shemweta LRCT)
Comments