Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini Bw. David Charles (mwenye miwani kichwani) akiongoza wafanyakazi wenzake wa Kampuni ya Tigo kutoa msaada kwa wagonjwa wa Hospitali ya Tengeru kwenye siku ya Wapendanao mwishoni mwa wiki Mkoani Arusha.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Tigo Kanda ya Kaskazini wakiwa kwenye picha ya pamoja na vifaa mbalimbali walivyotoa kwenye Hospitali ya Tengeru Mkoani Arusha mwishoni mwa wiki, ikiwa ni sehemu ya mchango wao kwa wagonjwa siku ya Wapendanao(Valentine Day).Wafanyakazi wa Kampuni ya Tigo Kanda ya Kaskazini wakiwa kwenye picha ya pamoja na vifaa mbalimbali walivyotoa kwenye Hospitali ya Tengeru Mkoani Arusha mwishoni mwa wiki, ikiwa ni sehemu ya mchango wao kwa wagonjwa siku ya Wapendanao(Valentine Day).Meneja wa Uwajibikaji kwa Jamii wa Tigo Bi.Woinde Shisael akikabidhi msaada kwa mgonjwa Bi.Elizabeth Swai ikiwa ni sehemu ya msaada uliotolewa na Kampuni ya Tigo siku ya Wapendanao (Valentine Day) kwenye Hospitali ya Tengeru Mkoani Arusha mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Huduma Kwa Wateja wa Tigo Mkoani Arusha Bi. Lidya Sakaya akikabidhi msaada kwa mgonjwa Bi. Felister Paul ikiwa ni sehemu ya msaada uliyotolewa na Kampuni ya Tigo siku ya Wapendanao (Valentine Day) kwenye Hospitali ya Tengeru Mkoani Arusha mwishoni mwa wiki.Mfanyakazi wa Kampuni ya Tigo kutoka Moshi Bw. Abubakar Rashid akikabidhi msaada kwa mgonjwa Bi. Grace Fanuel ikiwa ni sehemu ya msaada uliyotolewa na Tigo siku ya Wapendanao (Valentine Day) kwenye Hospitali ya Tengeru Mkoani Arusha mwishoni mwa wiki.Wafanyakazi wa Kampuni ya Tigo Kanda ya Kaskazini wakiwa kwenye picha ya pamoja na vifaa mbalimbali walivyotoa kwenye Hospitali ya Tengeru Mkoani Arusha mwishoni mwa wiki, ikiwa ni sehemu ya mchango wao kwa wagonjwa siku ya Wapendanao(Valentine Day).
Comments