Kocha Msaidizi wa Coastal Union,JamhuriKiwelu “Julio”kulia akizungumza na wachezaji mazoezini jana mara baada ya
kuwasilia mkoani Tanga kuifundisha timu hiyo kushoto ni Kocha Mkuu
James Nandwa ,Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Coastal Union,Albert
Peter,Katibu Mkuu Coastal Union,Kassim El Siagi na Meneja wa Coastal
Union Akida Machai.
Kocha Msaidizi wa Coastal Union,JamhuriKiwelu “Julio”kulia akisisitiza jambo mazoezini jana mara baada ya
kuwasilia mkoani Tanga kuifundisha timu hiyo kushoto ni Kocha Mkuu
James Nandwa ,Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Coastal Union,Albert
Peter,Katibu Mkuu Coastal Union,Kassim El Siagi na Meneja wa Coastal
Union Akida Machai.
Kocha Msaidizi wa Coastal Union ,JamhuriKiwelu “Julio”akizungumza na viongozi wa Coastal Union mara baada ya
kuwasili mazoezini jana ,Picha kwa Hisani ya Coastal Unio

No comments:
Post a Comment