MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UONGOZI WA KAMPUNI YA NARI YA CHINA

gha1Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Meneja Mkuu wa Kampuni ya NARI ya China, Bw. Bao Tianhua, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 13, 2015 kwa mazungumzo. Katikati ni Katikati ni Mkurugenzi wa Bosandra Professionals Co Ltd, Bora Joachim. Picha na OMR
Mhe. Dkt. Bilal, leo amekutana na Uongozi wa Kampuni hiyo ya NARI kutoka Nchini China ambayo pia inajishughulisha na Uwekezaji wa Miundombinu ya Umeme  Nchini Tanzania kwa kushirikiana na Wakala wa Umeme Vijijini.

Comments