Friday, February 13, 2015

RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA TAASISI YA SITI BINTI SAAD

unnamedMwenyekiti wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad Bibi Nasra Mohamed Hilal (wanne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda pamoja na mlezi wa Taasisi hiyo Rais Mstaafu awamu ya pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi ikulu jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro)

No comments:

TANZANIA IMEJENGWA KWA MISINGI IMARA YA AMANI NA UZALENDO-MAJALIWA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania imejengwa kwa misingi imara ya amani, uzalendo na maadili mema ambayo yameasisiwa na vion...