Friday, February 13, 2015

DK.SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS KAZI NA UTUMISHI WA UMMA

ZA2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongoza kikao cha siku moja cha Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma  katika  utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.]ZA1Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma   wakifuatilia kwa makini Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 iliyosomwa na Waziri Haroun Ali Suleiman (hayupo pichani) katika kikao kilichofanyika leo  ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar  mbele ya Mwenyekiti wa kikao hicho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha naIkulu.]

No comments:

Waziri Kombo akutana na Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Umoja wa Afrika

   Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa U...