KASESERA AFUNGUA MAFUNZO YA UKIMWI NA AFYA MAHALA PA KAZI

 Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Kampuni Kubwa na Ndogo zinazopambana na UKIMWI Mahala pa kazi (ABCT) Tanzania, Richard Kasesera (kushoto) akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya waratibu wa UKIMWI na Afya mahala pa kazi, Dar es Salaam leo. Kulia ni Meneja Mratibu wa  ABCT, Ruth Gundula. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Scania Tz, Doris Masengo (kulia0 akielezea jinsi wanavosaidia kutoa elimu kwa wafanyakazi ya mapambano dhidi ya Ukimwi katika kampuni hiyo. Kushoto ni Meneja Msaidizi wa  Scania, Kisali Mnyari.

Comments