WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. GEORGE SIMBACHAWENE AKABIDHIWA RIPOTI YA KUMTAFUTA MSHINDI WA TUZO YA RAIS YA HUDUMA ZA JAMII NA UWEZESHAJI KWA MAKAMPUNI YA UZIDUAJI NCHINI
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava (kulia) akimkaribisha Waziri wa Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene (kushoto) ili aweze kuzungumza na timu ya majaji na sekretarieti iliyofanya kazi ya kumtafuta mshindi wa Tuzo ya Rais ya Utoaji wa Huduma za Jamii na Uwezeshaji kwa makampuni ya uziduaji yaani madini na gesi. Timu hiyo iliendesha zoezi hilo mapema Septemba, mwaka jana.
Waziri wa Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene (aliyekaa mbele) akizungumza na timu ya majaji na sekretarieti iliyofanya kazi ya kumtafuta mshindi wa Tuzo ya Rais ya Utoaji wa Huduma za Jamii na Uwezeshaji kwa makampuni ya uziduaji yaani madini na gesi.
No comments:
Post a Comment