Friday, February 06, 2015

BALOZI WA RWANDA AONANA NA DR.K SHEIN ZANZIBAR

BALO1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akisalimiana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Eugene S.Kayihura alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo Picha na Ikulu.]BALO2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (kulia) akibadilishana mawazo na  Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Eugene S.Kayihura (katikati) baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Mshauri wa Rais Uhusiano wa Kimataifa, Uchumi na Uwekezaji Balozi wa Mohamed Ramia Abdiwawa.  Picha na Ikulu.]

No comments:

Ujumbe wa DRC watoa msaada kituo cha wakimbizi NMC - Kigoma

  Waziri wa Nchi, anayeshughulikia  Masuala ya Ustawi wa Jamii, Hatua za Kibinadamu na Mshikamano kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (D...