Kila Kona ya Nchi,Jambo Kuu linaloongelewa sasa ni MICHEPUKO! Kwa mara ya kwanza Tanzania imefunguka kuhusu mambo yanayosababisha Michepuko kwenye mahusiano na namna Michepuko hiyo inavyofichwa!
Kupitia FACEBOOK Page ya Michepuko www.facebook.com/Michepuko ,Twitter @Michepuko na Instagram @Michepuko... WaTanzania wamepata Nafasi ya kuongea kwa uwazi kabisa kuhusu Sababu za Michepuko, Namna ya kuivumbua na Jinsi ya kuiepuka Michepuko katika Mahusiano yako.
Ni vituko vitupu kwenye Social media, Umewahi Kusikia mtu kaseviwa kinukta "." kwenye simu? Wengine wameseviwa "Nani?" au "Fundi Choo"... Tembelea Facebook,Twitter na Instagram za Michepuko ujionee
Tanzania Bila Ukimwi,inawezekana. Baki Njia Kuu,Michepuko Sio Dili. Epuka Ukimwi
Comments