
Mchumi wa CCM, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Shadrack Mwanjuguja akidhibitiwa na vijana baada ya kutokea vurugu jana asubuhi katika Kijiji cha Ruanda2 wakati wa uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Santilya, Mbeya Vijijini. Picha na Godfrey Kahango
Na Mwandishi wa OMH Mahenge, Morogoro. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, ameshiriki uzinduzi wa shughuli za ujenzi wa mgodi wa madi...
No comments:
Post a Comment