Rais Jakaya Kikwete awataka wadau wote wa upatikanaji wa haki kushirikiana ili kuhakikisha haki inapatikana
Bendi ya polisi ikiongoza maandamano ya siku ya sheria katika viwanja Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads yaliyofanyika jana jijini Dar es Salaam
Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman (kushoto) mstari wa kwanza akiwa katika maandamano ya siku ya sheria jana na baadhi ya majaji kwenye viwanja Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads .
Rais Jakaya Kikwete akipokelewa (kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman (kulia)jana mara baada ya kuwasili kwenye maadhimisho ya siku ya sheria mara baada na baadhi ya majaji kwenye viwanja Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads
Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba leo kwenye maadhimisho ya siku ya sheria kwenye viwanja Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads
Jakaya Kikwete akipokelewa (katikati ) na Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman (kulia) mara baada ya kuwasili kwenye maadhimisho ya siku ya sheria mara baada na baadhi ya majaji kwenye viwanja Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads .Picha Magreth Kinabo – MAELEZO
Comments