Wednesday, February 12, 2014

Kamati Kuu ya CCM Yamteua Mtoto wa Aliyekua Waziri wa Fedha na Uchumi Marehemu Dk.William Mgimwa,Ndugu Godfrey William Mgimwa Kuwa Mgombea wa Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Kalenga, Iringa


Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimtambulisha kwa waandishi wa habari, mgombea wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa, Godfrey William Mgimwa (kushoto), katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Nape amemtambulisha Godfrey ambaye ni mtoto wa Marehemu Dk. William Mgimwa, baada ya Kamati Kuu ya CCM kumpitisha, kuwania nafasi hiyo ya Ubunge.Picha na Bashir Nkoromo

No comments:

NHC YAKABIDHI MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kupitia kwa Afisa wake Mkuu wa Habari, Yahya Charahani, limekabidhi msaada wa vifaa vya kusaidia watu we...