Waziri wa Sheria na Katiba ambaye pia ni mjumbe wa Bunge maalum la Katiba Dkt Asharose Migiro (kushoto) na Mjumbe wa Bunge maalum la Katiba Hamad Rashid wakibadilishana mawazo jana mjini Dodoma wakati wakielekea katika Ukumbi wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe (kulia) na Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomas Kashilila (kushoto) wakibadilishana mawazo jana mjini Dodoma wakati wanaelekea katika Ukumbi wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba.
Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Juma Mkamia na Mjumbe Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Joshua Nasari wakibadilishana mawazo jana mjini Dodoma mara baada ya uwasilishaji wa rasimu ya kanuni za Bunge Maalum Katiba.
Mwenyekiti wa Chama cha wananchi (CUF) ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Ibrahim Lipumba(kushoto) na Mwenyekiti wa CHAUSTA na ambaye ni Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba James Mapalala(kushoto) wakibadilishana mawazo jana mjini Dodoma mara baada ya uwasilishaji wa rasimu ya kanuni za Bunge Maalum Katiba.
Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Dkt Fenelaa Mkungala (kushoto) na Mwanasheia Mkuu wa Serikali Jaji Fredrick Werema (wa pili kushoto) na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Yusuph Singo (kulia) na Dkt. Franicis Michael (wa pili kulia) wakibadilishana mawazo jana mjini Dodoma mara baada ya uwasilishaji wa rasimu ya kanuni za Bunge Maalum Katiba.
Mwenyekiti wa Chama cha wananchi (CUF) ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Ibrahim Lipumba(mwenye suti ya kijivu) akibadlishana mawazo na waandishi wa habari jana mjini Dodoma kabla ya kuingia katika ukumbi wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa Bunge maalum la Katiba wakiwasili katika Ukumbi wa Bunge jana mjini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa Bunge maalum la Katiba wakifuatilia kwa makini uwasilishaji wa rasimu ya kanuni za Bunge Maalum jana mjini Dodoma .
Waziri Mkuu na ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Mizengo Peter Pinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Balozi Seif Alli Iddi wakifuatia uwasilishaji wa rasimu ya rasimu ya kanuni za Bunge Maalum jana mjini Dodoma
Waziri Mkuu na ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Mizengo Peter Pinda akibadilishana mawazo jana mjini Dodoma na wajumbe wenzake mara baada ya kuharishwa kwa kikao.Picha na Idara ya Maelezo-Dodoma
Comments