Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Boniface Tuguluvala Simbachawene atembelea Shirika la Nyumba la Taifa
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Boniface Tuguluvala Simbachawene akiwasili makao makuu ya shirika leo mchana
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Boniface Tuguluvala Simbachawene akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa makao makuu ya shirika leo mchana.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Boniface Tuguluvala Simbachawene akifuatilia presentation iliyokuwa ikitolewa na Mkurugenzi wa Ubunifu Issack Peter (hayuko pichani) leo mchana.

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Boniface Tuguluvala Simbachawene akiwasili makao makuu ya shirika leo mchana, wa kwanza kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Hamad Abdallah ambaye pia ni Mkurugenzi wa Usimamizi wa Milki wa Shirika la Nyumba la Taifa.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Boniface Tuguluvala Simbachawene akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa makao makuu ya shirika leo mchana.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Boniface Tuguluvala Simbachawene akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa makao makuu ya shirika leo mchana.
Mkurugenzi wa Ubunifu Issack Peter akiendelea kutoa presentation ya namna miradi ya Shirika inavyoendeshwa.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Boniface Tuguluvala Simbachawene akifurahia jambo baada ya presentation iliyokuwa ikitolewa na Mkurugenzi wa Ubunifu Issack Peter (hayuko pichani) leo mchana.
Comments