Wednesday, February 05, 2014

Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein na Ujumbe Wake Waendelea na Ziara yao ya kikazi nchini India

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na ujumbe akiwasilidelhi india
   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein akifuatana na Balozi wa Tanzania Nchini India John W.H.Kijazi walipofika katika Makumbusho ya Mahatma Ghandhi Mjini New Delhi India na kuweka shada la mauwa katika makumbusho hayo,akifuatana na ujumbe wake katika ziara ya siku tatu nchini humo
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein akiweka saini kitabu cha kumbukumbu ya wageni katika makumbusho ya Mahatma Gandhi katika Mji wa New Delhi India   baada ya  kuweka shada la mauwa (katikati)Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja Balozi wa Tanzania Nchini India John W.H.Kijazi (kushoto)
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein akifuatana na Ujumbe wake wakielekea katika sehemu maalum iliyotengwa kwa shuhuli ya uwekaji wa mauwa kwa wageni mbali mbali wanaofika sehemu hiyo ya Makumbusho ya Mahatma Ghandhi Mjini New Delhi India
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein na Mkwe Mama Mwanamwema Shein wakiweka shada la mauwa  katika   Makumbusho ya Mahatma Ghandhi Mjini New Delhi, ambayo ni sehemu maalum iliyotayarishwa kwa  wageni mbali mbali wanaofika katika Makumbusho hayo,Rais akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake Nchini India
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein akizungumza na mwenyeji wake  Makamo wa Rais wa India Mohammed Hamid Ansari, mara alipowasili  Ofisini kwake Mjini New Delhi,akiwa na ujumbe aliofuatana nao wakiwemo Mwaziri mbali mbali na makatibu.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakiingia katika  Makumbusho ya Hawa Mahal  Mji wa Jaipur Jimbo la Rajastan nchini India  akiwa katika siku ya pili ya ziara yeke katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakiingia vitu mbalimbali katika  Makumbusho ya Hawa Mahal  Mji wa Jaipur Jimbo la Rajastan nchini India  akiwa katika siku ya pili ya ziara yeke katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia taa iliyotengenezwa na Akinamama wa Zanzibaar Kisiwani Pemba alipotembelea Chuo cha Barefoot kinachotoaa mafunzo ya Amali kwa wanawake pekee katika Kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajastan ncchini India akiwa katika siku ya pili ya ziara yeke katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( katikati)akiwa na Viongozi wa  Chuo cha Barefoot kinachotoaa mafunzo ya Amali kwa wanawake pekee katika Kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajastan nchini India pamoja na ujumbe wake akiwa katika siku ya pili ya ziara yake katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (mwenye suti nyeusi katikati)akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo cha Barefoot kinachotoaa mafunzo ya Amali kwa wanawake pekee katika Kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajastan nchini India pamoja na ujumbe wake akiwa katika siku ya pili ya ziara yake katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo.Picha na Ramadhan Othman,IKULU-Zanzibar

No comments: