Makamu wa CCM bara Philip Mangula akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watanzania wanaosoma na kufanya kazi nchini China katika mji wa Beijing baada ya kukutana nao kwa kikao kifupi katika kujadili mstakabali wa wasomi katika ujenzi wa taifa lao.Hii ilifanyika baada ya ziara fupi nchini aliyofanya Mangula mwanzoni wa wiki hii.
Baadhi ya watanzania waishio nchini wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa CCM, bara Philip Mangula
baada ya kikao cha kujadili mambo kadhaa ya mstakabali wa nchi yao katika ziara fupi aliyofanya mwanzoni wa wiki hii.
Mangula akibadilishana mawazo wadau Joel Kayombo na Shauku Kihombo ambao wapo nchini humo kwa masomo katika moja ya vyuo vinavyopatikana mjini Beijing China
PICHA ZOTE NA MDAU SHAUKU KIHOMBO
Comments