Kikao Cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Chini ya Mwenyekiti Wake Rais Jakaya Kikwete jana

 
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili ukumbini kuendesha Kikao Maalum Cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma.
  Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha NEC. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Rais wa Zanzibar Dk. Sheni
 Wajumbe wa NEC, na Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai  wakiwa ukumbini. Kushoto ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro.
 Wajumbe ukumbini
 Wajumbe ukumbini
 Mjumbe wa NEC, Profesa Anna Tibaijuka akimtegea sikio kwa makini mjumbe mwenzake, Profesa Mark Mwandosya wakati wakiteta jambo ukumbini wakati wa kikao hicho jana.
 Wajumbe wa NEC, Balozi Ali Mchumo na Dk. Asha-Rose Migiri wakijadili jambo ukumbini. Kushoto ni Khatib
  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai wakijadili jambo ukumbini. Katikati  ni Katibu wa NEC,Oganaizesheni Mohammed Seif Khatib
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe  akizungumza na  Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Martine Shigela nje ya  ukumbi, baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maandili ya CCM. Membe baadaye alihudhuria kikao cha NEC.Picha zote na Bashir Nkoromo

Comments