Monday, February 17, 2014

Mtoto wa Aliyekua Waziri wa Fedha na Uchumi Marehemu William Mgimwa,Godfrey Mgimwa Achukufua Fomu Rasmi Za Uteuzi za Kuwania Ubunge wa Jimbo la Kalenga Kupitia CCM

Mtoto wa Aliyekua Waziri wa Fedha na Uchumi Marehemu William Mgimwa  Godfrey Mgimwa (wa pili kushoto) akisindikizwa na wana CCM wenzake kwenda kuchukua fomu za kuwania ubunge wa jimbo la Kalenga kwa Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Iringa
Msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Iringa,Pedenciana Kisaka akimkabidhi fomu za uteuzi za kuwania ubunge wa jimbo la Kalenga, Mtoto wa Aliyekua Waziri wa Fedha na Uchumi Marehemu William Mgimwa Ambaye ni Mgombea wa CCM Godfrey Mgimwa jana. Picha zote na Frank Leonard

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...