MALORI YAGONGANA YALIPUKA, MMOJA AFA, ENEO LA MIKESE MORO

 
 Leo asubuhi eneo la Mikese, Morogoro, imetokea ajali  mbaya sana ya magari mawili, moja la mafuta, kugongana uso kwa uso na kutumbukia mtaroni na yote kushika moto. Inasadikiwa mtu mmoja ambaye ni dereva wa magari hayo kateketea kabisa kwa moto. Picha na Mdau Sixmund
 Hakuna cha kufanyika kutokana na moto mkubwa na moshi mwingi wakati magari hayo yakiteketea
Askari wa kikosi cha zimamoto wakijaribu kuuzima moto huo

Comments