MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA UHAMASISHAJI NA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA JIJINI MWANZA


 Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akisaliamiana na warembo hao baada ya kuwasili kwenye banda lao.

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Udhibiti wa Ubora wa kampuni ya Vic Fish, Jacob Maisele, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho katika Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa jana jijini Mwanza.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB, wakiwa katika gari lao la 'Mobile Bank', katika maonyesho ya Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa jana.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho katika Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa jana.
  Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Frontline, Irene Kiwia, wakati alipokutana nae katika maonyesho ya Kongamano la siku tatu la Uwekezaji na Uhamasishaji Kanda ya Ziwa, lililoanza jana, jijini Mwanza.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia jambo alipotembelea katika Banda la Mjasiliamali Donatha Swai, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho katika Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa jana, jijini Mwanza. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwasnza, Eng. Evarist Ndikilo.
 Makamu wa Rais, Dkt. Bilal akizungumza na Meneja wa Kanda wa Mtandao wa Airtel, Violet Gyumi na Meneja wa Benki ya Standard Chartered Tawi la Mwanza, (wa pili kulia) wakati alipokutana nao katika maonyesho ya Kongamano la siku tatu la Uwekezaji na Uhamasishaji Kanda ya Ziwa, lililoanza jana, jijini Mwanza.
  Baadhi ya wakuu wa mikoa waliohudhuria Kongamano hilo....wakifurahia jambo kwa pamoja.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye ukumbi wa Mkutano huo katika Hoteli ya Malaika Beach Resort, kwa ajili ya kufungua Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa jana Feb 13, 2014 jijini Mwanza.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa Kongamano la siku tatu la Uwekezaji na Uhamasishaji Kanda ya Ziwa, lililoanza jana, jijini Mwanza.
 Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo....
  Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.....

 Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal.
  Kutoka (kushoto) ni Doreen Joseph, Dorcas Zephania, Stella George na Gravin Mwaijibe, wakipozi kumsubiri Makamu wa Rais kutembelea katika banda lao kwenye maonyesho ya Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa.
 Picha ya pamoja.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

Comments