Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Phillip Mangula yamhoji Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe
Waziri wa Mambo ya Nje Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa NEC mara baada ya kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ambapo alisema Kamati ya Maadili imeuliza masuala mazito na maswali magumu yanayohusiana na uvunjaji wa maadili ya uongozi wa chama chetu.
Waziri wa Mambo ya Nje Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM mjini Dodoma jana.
*Video:na Muhidin Sufiani-Dodoma
*Video:na Muhidin Sufiani-Dodoma
Comments