
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na mjumbe mwenzake Edward Lowassa, wakati alipokuwa akiingia kwenye Ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM.
No comments:
Post a Comment