Tuesday, February 11, 2014

Lowassa ashiriki msiba wa Patrick Qorro leo


Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsalimia waziri mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais mstaafu Jaji Joseph warioba katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro ,Ada Estate Dar es Salaam.
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsalimia Prof. Issa Shivji
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro jijini dsm leo hii

No comments:

MSAJILI HAZINA ASHIRIKI UZINDUZI UJENZI MGODI WA MADINI KINYWE

  Na Mwandishi wa OMH Mahenge, Morogoro. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, ameshiriki uzinduzi wa shughuli za ujenzi wa mgodi wa madi...