Friday, April 01, 2016

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU PAUL MOKIMIRYA, BABA WA RITHA MOKIMIRYA WA NHC

Ritha Mokimirya wa Kitengo cha Manunuzi cha Shirika la Nyumba la Taifa akiweka udongo kwenye kaburi la Baba yake, Paul Mokimirya wakati wa mazishi ya Mzee Paul Mokimirya aliyewahi kuwa Meneja wa NHC Ruvuma, huko Kitunda Matembele- Dar es Salaam. Marehemu Mokimirya alifariki Dunia Jumatatu ya Pasaka Machi 29, 2016 kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Marehemu Paul Mokimirya
Baadhi ya waombolezaji waliofika kwenye mazishi ya Mzee Paul Mokimirya ambaye ni Mstaafu, aliyewahi kuwa Meneja wa NHC Ruvuma. Marehemu Mokimirya alifariki Dunia Jumatatu ya Pasaka Machi 29, 2016 kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Mwili wa Mzee Paul Mokimirya ukiwasili nyumbani kwake Kitunda. Marehemu Mokimirya alifariki Dunia Jumatatu ya Pasaka Machi 29, 2016 kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Baadhi ya waombolezaji waliofika kwenye mazishi ya Mzee Paul Mokimirya ambaye ni Mstaafu wa NHC na aliwahi kuwa Meneja wa NHC Ruvuma. Marehemu Mokimirya alifariki Dunia Jumatatu ya Pasaka Machi 29, 2016 kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Mdogo wa Marehemu Mokimirya akisoma wasifu mfupi wa Marehemu kwenye msiba wa Marehemu Pau Mokimirya ambaye ni Mstaafu wa NHC na aliwahi kuwa Meneja wa NHC Ruvuma. Marehemu Mokimirya alifariki Dunia Jumatatu ya Pasaka Machi 29, 2016 kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili

Post a Comment