Thursday, April 07, 2016

MCHEZAJI WA ZAMANI WA TIMU YA TAIFA YA NIGERIA "SUPER EAGLES", NWANKWO KANU AWASILI DAR ES SALAAM KWA ZIARA YA SIKU TANO

 
 Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Nigeria "Super Eagles", Nwankwo Kanu akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo kwa mwaliko wa siku tano wa Kampuni ya Vizimbuzi ya StarTimes.
 Hapa Kanu akihojiwa na wanahabari. Kushoto na kulia ni Mabaunsa waliokuwa wakimlinda baada ya kufika Uwanja wa Ndege kabla ya kuelekea Hoteli ya Serena.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes Tanzania Be Lanfang Liao (kulia), akimuelekeza jambo mchezaji huyo wakati wakielekea kupanda gari kuelekea Hoteli ya Serena. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano wa StarTimes Tanzania,  William Masy.
Post a Comment